Msanii prezoo atarajia kufunga ndoa na mpenzi wake aitwae goldie ifikapo tarehe 9 mwezi wapili jijini lagos ambao msani prezoo ni msanii kutoka pande za kenya nagoldie ni msanii kutoka pande za nigeria ambao wa sanii ao wali kutana mara ya kwanza katika jumba la BBA lililopo nchini south africa
No comments:
Post a Comment