Powered By Blogger

Thursday, February 7, 2013

cheki hapa vidio mpya ya tyaga wa young money




  msani tyga kutoka leboya young money ameachia nyimbo mpya msanii rick ross kutoka lebo mayback music ambaye ni mmiliki wa lebo iyo tyga ali hit na nyimbo itwayo rock city
q

Tuesday, February 5, 2013

kigoma allstar waja na ujio wangoma mpya inatwa NYUMBANI

Add caption
wasanii kutokka kigoma waitwao KIGOMA ALLSTARS baada ya kutamba na nyimbo yao itwayo (lekatutigite) jana wame lilz nyimbo mpya iitwayo (nyumbani)katika nyimbo hiyo wa meionge lea tanzania na msanii allykiba ameskika katika nyimbo hiyo na wame ongelea uzalendo.

Nikkimbishi asema atatoa nyimbo itwayo NEY WAMITEGO

msanii uyo anaye julikana kwajina nickkimbishi ambaye produza wake aitwae duke chini ya lebo itwayo tamaduni music baada yakutambulisha nyimbo yake mpya itwayo (kill yourself)amesema baadaya nyimbo hii atatoa nyimbo baada yahuu nyimbo inaitwa NEYWAMITEGO ambayo aimuusu NEYWAMITEGO

Msanii q chief anataka kushiriki BBA


Msanii prezoo atarajia kufunga ndoa na mpenzi wake aitwae goldie ifikapo tarehe 9 mwezi wapili jijini lagos ambao msani prezoo ni msanii kutoka pande za kenya nagoldie ni msanii kutoka pande za nigeria ambao wa sanii ao wali kutana mara ya kwanza katika jumba la BBA lililopo nchini south africa

gy

Msanii prezoo atarajia kufunga ndoa na mpenzi wake goldi